Sunday, 11 October 2015

RAIS KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE MTWARA‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Halima Denengo na mmiliki wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote (nyuma yao) wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015




Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Alhaj Aliko Dangote na ujumbe wake kutoka Nigeria wakipata picha ya kumbukumbu wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Alhaj Aliko Dangote na familia yake na ujumbe wake kutoka Nigeria wakipata picha ya kumbukumbu wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015

Sehemu ya wafanyakazi wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote  wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Alhaj Aliko Dangote wakikata utepe kuashiria  kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Alhaj Aliko Dangote wakifunua pazia kuashiria  kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015




Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa uzalishaji Bi. Mbumi Mwampeta (23) kuhusu uzalishaji wa satuji kwa njia za kisasa baada ya  kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015

PICHA NA IKULU

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!