Ndani ya Ukumbi wa King Solomon Hall, Kinondoni Dar es Salaam kinachoendelea sasahivi ni Fainali ya Bongo Star Search Season 8… nimeanza kukusogezea hizi pichaz za kwanza kuanzia Red Carpet mpaka ndani.
Romy Jones kwenye Red Carpet.
KWA HISANI YA MILLARD AYO.COM
No comments:
Post a Comment