Mama Samia Hassan Suluhu mgombea mwenza wa CCM anaweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa Makamu wa Rais nchini Tanzania. Ametangawa rasmi na Tume ya uchaguzi kushinda kiti hicho cha Makamu wa Rais wa Tanzania
HONGERA SANA MAMA SAMIA HASSAN SULUHU
1 comment:
MUBARAKHA KIMWELI22:14
1
Reply
Hongera Mh.Samia Suluhu tupo pamoja ktk ujenzi wa taifa bora kimaendeleo
Post a Comment