Kaimu Katibu Tawala Raymond Mapunda (wa katikati), amaye ni Ofisa Elimu wa Dar es Salaam akifunga Mafunzo kwa waratibu wa Uchaguzi, wasimamizi wa Uchaguzi,wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo na Maofisa Uchaguzi, Mkoa wa Dar es Salaam leo, ambapo mafunzo hayo yalikuwa ya siku mbili, wa kwanza kulia ni Mratibu Uchaguzi wa mkoa wa Mary Assey na kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Temeke na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Photidas Kagimbo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Temeke na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Photidas Kagimbo akizungumza jambo mara baada ya kufungwa mafunzo hayo Dar es Salaam
Washiriki wa mafunzo hayo wakimsikiliza mgeni rasmi mara alipokuwa akifunga mafunzo hayo
Kaimu Mkuu wa Sehemu Kanda ya Kusini Crecencia Mayalla, akizungmza jambo na waandishi wa habari baada ya kufungwa mafunzo kwa waratibuwa Uchaguzi, wasimamizi wa uchaguzi, wasimamizi wa wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Jimbo na Maafisa uchaguzi
No comments:
Post a Comment