Monday, 12 October 2015
JUST IN.. WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ABDALLAH KIGODA AFARIKI DUNIA
Hii ni kwa mujibu wa Taarifa ya Bunge; Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdalah Kigoda amefariki leo nchini India alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Balozi Kijazi amethibitisha taarifa hizi na familia imethibitisha kutokea kwa msiba huu.
Apumzike kwa amani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment