Sunday, 18 October 2015

HAWA WACHINA SASA!


Watu wawili ambao ni Mume na mke raia wa China wamekamatwa jijini Dar Es Salaam wakijaza maji ya bombani kwenye chupa tupu za maji ya kunywa na kuyauza kama vile maji mapya.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!