NILIKUWEPO JANGWANI LEO.NI VIGUMU SANA KUPATA NENO LA KUSIMULIA.UMATI WA WATU,MILLION TATU,KUHAMASIKA KWA WAHUDHURIAJI,MALAKI YA AKINA MAMA VIJANA UMRI KATI NA VIKONGWE KUJITOKEZA KUMUUNGA MKONO MHESHIMIWA LOWASSA KUCHUKUA NCHI KESHO KUPITIA SANDUKU LA KURA,KUPAGAWA NA KUHAMASIKA KWA VIJANA WA TANZANIA KATIKA UAMUZI WAO WA KUMCHAGUA LOWASSA,HOTUBA ZA KIHISTORIA ZA KUSISIMUA TOKA KWA MHESHIMIWA LOWASSA,MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWILU,MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD,BABU JUMA DUNI,MHESHIMIWA FREEMAN MBOWE,MHESHIMIWA JAMES MBATIA,MWANASHERIA MKUU WA CUF TASLIMA,NAWABUNGE WOTE WATARAJIWA WA MKOA WA DAR-ES-SALAAM.ILIKUA NI HISTORIA JUU YA HISTORIA.SIJAWAHI KUSHUHUDIA.
1 comment:

Post a Comment