![](https://scontent-arn2-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xpf1/v/t1.0-9/p720x720/11836644_1609013342719557_9172394817028489284_n.jpg?oh=729e40747c5dfa056093ed3841e48042&oe=56835FEE)
LEO: Wasanii zaidi ya 100 wa muziki na filamu leo Agosti 6 wanakusanyika katika ukumbi wa Mlimani City kwa chakula cha jioni na live performance. Njoo Mlimani City ujiunge na sisi kumuaga Rais Jakaya Kikwete, kumshukuru kwa kushirikiana na sisi katika miaka yake 10 kama Rais kwa kukuza tasnia yetu na pia live tunamkaribisha Dr John Pombe Magufuli a.k.a Tingatinga
No comments:
Post a Comment