Friday, 28 August 2015

WAPENZI WA JINSIA MOJA WADAI KUNYANYASWA

Image copyrightEdward Echwalu l Reuters
Image captionWapenzi wa Jinsia moja nchini Uganda
Kundi la kuteta haki za kibinadam nchini Tanzania la LGBTI Voice of Tanzania imetangaza kuwa imeanzisha kampeini ya kuchangisha pesa za kututea haki za wapenzi wa jinsia moja, watu walio badili jinsia zao.


Shirika hilo limesema kuwa sheria za Tanzania zinawakandamiza watu wanaoshabikia mapenzi ya jinsia moja.
Mkurugenzi wa shirika hilo James Wandera amesema wamechangisha zaidi ya dola elfi thelathini, has kutoka wa wafadhili kwa njia ya mtandao.
Amesema wanapanga kutumia fedha hizo kuzuia uwezekano wa wabunge kuidhinisha mswada uliowasilishwa bungeni.
Mswada huo haujajadiliwa bungeni lakini unapendekeza adhabu ya dhidi ya wapenzi wa jinsia moja kuimarisha zaidi.
Image copyrightugc
Image captionWapenzi wa Jinsia moja
Sheria za Tanzania zimeharamisha mapenzi ya jinsia moja na wale wanaopatikana na hatia hupewa adhabu ya kifungo cha hadi miaka 20 gerezani.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!