CCM YOU ARE TIRED AND IM FED UP WITH YOUR BULLSHIT
- CDM YOU ARE LACKING THE SENSE OF TOGETHERNESS AND YOU SEE LIFE IN TWO DIMENSIONS ONLY : EITHER BLACK OR WHITE! You can't see the whole picture and act on the gray ZONES! siasa zenu NI old school! Za kina MALCOM X NA MARTIN LUTHER KING! full jazba !!! JIULIZE KWANINI OBAMA ALIPEWA NCHI NA SIO HAO WAWILI?!
HII TOPIC NI KWA WASOMI NA WALE AMBAO HAWANA KASUMBA ZA FEMALE GENDER FEAR ILI KUBADILISHANA MAWAZO
KWA NYIE VILAZA WAKOMAVU MSIOPENDA KUSOMA NA KUCHAMBUA MADA KAMA ILIVYOLETWA , alafu unaleta kimbelembele Cha kukoment upuuzi na kuniambia what and how I should think nakwambia kabisa majibu ntakayokupa utajuta kunifahamu! 👊🏽👊🏽👊🏽 Bora ukae kando huku ukiramba 🍋🍋🍋🍋 ✌🏽
Huyu ndiye Mgombea Urais wa ACT -Wazalendo,ni mgombea msafi na asie na chembe ya ufisadi.....
Historia yake
Anna Mghwira ni Mwenyekiti
wa kitaifa wa chama kipya cha
siasa, ACT – Wazalendo.
Alizaliwa Januari 23, 1959
katika hospitali ya Mkoa wa
Singida, Kata ya Mungumaji,
Kitongoji cha Irao Manispaa ya
Singida Mjini. (Januari mwaka
huu alitimiza miaka 56).
Baba mzazi wa Anna alikuwa
diwani na kiongozi wa Tanu
kabla ya CCM hadi mwaka
1985, mama yake
alijishughulisha na kilimo na
ufugaji na wazazi hawa kwa
ujumla walipata watoto tisa,
akiwamo Anna.
Mgwira alianza safari ya
kielimu katika Shule ya Msingi
Nyerere Road mwaka 1968 –
1974 akaendelea na sekondari
kwenye Shule ya Ufundi Ihanja
kati ya mwaka 1975 – 1978
kabla ya kuhitimisha masomo
ya juu ya sekondari (kidato
cha V na VI) Lutheran Junior
Seminary kati ya mwaka 1979 –
1981.
Aliendelea na masomo ya chuo
kikuu mwaka 1982 baada ya
kujiunga Chuo Kikuu cha
Thiolojia (Chuo Kikuu cha
Tumaini) na kuhitimu Shahada
ya Thiolojia mwaka 1986.
Mwaka huohuo, alijiunga Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam
(UDSM) kusomea shahada ya
Sheria.
Kati ya mwaka 1987 – 1998,
aliendelea na shughuli za
ujenzi wa Taifa, akifanya kazi
ndani na nje ya nchi na kupata
uzoefu mkubwa.
Safari ya elimu ya Mghwira
ilikamilikia Chuo Kikuu cha
Essex, Uingereza ambako
alianza Shahada ya Uzamili ya
Sheria (LLM) mwaka 1999 na
kutunukiwa mwaka 2000.
Licha ya kuwa mwanasheria na
mtheologia aliyebobea, pia
amefanya kazi za maendeleo
kwa muda mrefu na ana
uzoefu katika uendeshaji wa
Serikali za Mitaa, utumishi
katika mashirika ya kimataifa,
kitaifa na mashirika ya dini
ambamo amejihusisha na
masuala ya wanawake, watoto,
wakimbizi, utawala na haki za
binadamu.
Mghwira ana historia ya
kupenda siasa, masuala ya
jamii na michakato ya
maendeleo kama
inavyojidhihirisha katika
maandiko yake mbalimbali
katika majarida na magazeti ya
hapa ndani ya nchi.
Alianza siasa tangu wakati wa
Tanu akiwa mwanachama wa
Umoja wa Vijana wa Tanu
(Tanu Youth League) na
aliwahi kushinda tuzo
mbalimbali kutokanana
ushiriki wa juu katika Tanu
lakini baadaye ilipoanzishwa
CCM alipunguza ushiriki wake
ili ajipe muda katika masomo
na baadaye ndoa na malezi ya
watoto.
Kwa kipindi kirefu, hakuwa
anajihusisha na siasa hadi
alivyoamua kujiunga na
Chadema mwaka 2009 ambako
alishika nafasi mbili tu za
uenyekiti wa baraza la
wanawake ngazi ya wilaya na
katibu wa baraza la wanawake
mkoa.
Machi mwaka huu alijiunga
rasmi na ACT – Wazalendo na
katika Mkutano Mkuu wa
kwanza wa chama hicho,
alichaguliwa kuwa Mwenyekiti
wa Kwanza wa ACT.
Aliolewa na Shedrack
Maghwiya tangu mwaka 1982
na walibahatika kupata watoto
watatu wa kiume: Fadhili,
Peter na Elisha. Hata hivyo,
kwa bahati mbaya, mumewe
hivi sasa ni marehemu.
Anna Mghwira ni Mwenyekiti
wa kitaifa wa chama kipya cha
siasa, ACT – Wazalendo.
Alizaliwa Januari 23, 1959
katika hospitali ya Mkoa wa
Singida, Kata ya Mungumaji,
Kitongoji cha Irao Manispaa ya
Singida Mjini. (Januari mwaka
huu alitimiza miaka 56).
Baba mzazi wa Anna alikuwa
diwani na kiongozi wa Tanu
kabla ya CCM hadi mwaka
1985, mama yake
alijishughulisha na kilimo na
ufugaji na wazazi hawa kwa
ujumla walipata watoto tisa,
akiwamo Anna.
Mgwira alianza safari ya
kielimu katika Shule ya Msingi
Nyerere Road mwaka 1968 –
1974 akaendelea na sekondari
kwenye Shule ya Ufundi Ihanja
kati ya mwaka 1975 – 1978
kabla ya kuhitimisha masomo
ya juu ya sekondari (kidato
cha V na VI) Lutheran Junior
Seminary kati ya mwaka 1979 –
1981.
Aliendelea na masomo ya chuo
kikuu mwaka 1982 baada ya
kujiunga Chuo Kikuu cha
Thiolojia (Chuo Kikuu cha
Tumaini) na kuhitimu Shahada
ya Thiolojia mwaka 1986.
Mwaka huohuo, alijiunga Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam
(UDSM) kusomea shahada ya
Sheria.
Kati ya mwaka 1987 – 1998,
aliendelea na shughuli za
ujenzi wa Taifa, akifanya kazi
ndani na nje ya nchi na kupata
uzoefu mkubwa.
Safari ya elimu ya Mghwira
ilikamilikia Chuo Kikuu cha
Essex, Uingereza ambako
alianza Shahada ya Uzamili ya
Sheria (LLM) mwaka 1999 na
kutunukiwa mwaka 2000.
Licha ya kuwa mwanasheria na
mtheologia aliyebobea, pia
amefanya kazi za maendeleo
kwa muda mrefu na ana
uzoefu katika uendeshaji wa
Serikali za Mitaa, utumishi
katika mashirika ya kimataifa,
kitaifa na mashirika ya dini
ambamo amejihusisha na
masuala ya wanawake, watoto,
wakimbizi, utawala na haki za
binadamu.
Mghwira ana historia ya
kupenda siasa, masuala ya
jamii na michakato ya
maendeleo kama
inavyojidhihirisha katika
maandiko yake mbalimbali
katika majarida na magazeti ya
hapa ndani ya nchi.
Alianza siasa tangu wakati wa
Tanu akiwa mwanachama wa
Umoja wa Vijana wa Tanu
(Tanu Youth League) na
aliwahi kushinda tuzo
mbalimbali kutokanana
ushiriki wa juu katika Tanu
lakini baadaye ilipoanzishwa
CCM alipunguza ushiriki wake
ili ajipe muda katika masomo
na baadaye ndoa na malezi ya
watoto.
Kwa kipindi kirefu, hakuwa
anajihusisha na siasa hadi
alivyoamua kujiunga na
Chadema mwaka 2009 ambako
alishika nafasi mbili tu za
uenyekiti wa baraza la
wanawake ngazi ya wilaya na
katibu wa baraza la wanawake
mkoa.
Machi mwaka huu alijiunga
rasmi na ACT – Wazalendo na
katika Mkutano Mkuu wa
kwanza wa chama hicho,
alichaguliwa kuwa Mwenyekiti
wa Kwanza wa ACT.
Aliolewa na Shedrack
Maghwiya tangu mwaka 1982
na walibahatika kupata watoto
watatu wa kiume: Fadhili,
Peter na Elisha. Hata hivyo,
kwa bahati mbaya, mumewe
hivi sasa ni marehemu.
Nguvu yake
Jambo la kwanza linalompa
nguvu mwanamama huyu ni
umahiri katika elimu. Yeye ni
msomi nguli wa masuala ya
sheria lakini ana shahada tatu
za vyuo vikuu. Nchi yoyote
ingependa pamoja na sifa
nyingine, iongozwe na Rais
ambaye elimu si kikwazo
kwake. Kwa nchi kama
Tanzania ambayo mfumo dume
umewakandamiza wanawake
kwa kipindi kirefu, Mghwira
anakuwa mmoja wa wanawake
wachache wenye uwezo
mkubwa.
Kwa sababu Mghwira ni
mwanamke imara na
anayepambana kwa muda
mrefu sasa. Kitendo tu cha
yeye kuwa mwanamke ni
baraka tosha kwa siasa za
kisasa ambazo zinaanza
kuchangamkia, kukubali na
kutafuta mchango wa
wanawake katika nyanja za
kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Jinsia yake inampa fursa ya
kuendelea kuaminiwa zaidi
katika jamii ambayo inazidi
kupoteza imani na uaminifu
wa wanaume.
Lakini nguvu ya tatu ya
Mghwira ni uthubutu.
Ameniambia kuwa hata
alipoingia katika ndoa bado
alithubutu kujiendeleza
kielimu bila kuchoka.
Alipambana na changamoto za
ndoa na shule. Wanawake
wengi huchagua kufanya
jambo moja na kuacha
mengine, yeye alikwenda nayo
yote na kuyakamilisha salama.
Uwezo na uthubutu huu
vinamfanya kuwa
mwanamama imara anayeweza
kukabidhiwa uongozi wa
taasisi kubwa.
Mghwira ni mtu wa kuhoji kila
jambo, si mwanamama “Ndiyo
Mzee”. Wakati natafuta maoni
ya watu waliowahi kufanya
naye kazi katika Kituo cha
Sheria na Haki za Binadamu,
mtendaji mmoja aliniambia
kuwa ukimpa Mghwira kazi ya
harakati iliyo kwenye
maandishi, hataondoka kwako
hadi umpe taarifa za kina za
kila jambo na atakuhoji hadi
utachoka.
Hata mtaalamu mshauri wa
chama hicho Profesa Kitila
Mkumbo ameniambia kuwa
wakati wanafanya
marekebisho ya katiba ya
chama cha ACT walikabidhi
kazi hiyo kwa jopo maalumu la
wataalamu akiwemo Mghwira.
Profesa Kitila ananiambia
kuwa kwa kiasi kikubwa
katika timu hiyo, Mghwira
ndiye aliyehoji na kutoa
mapendekezo ya masuala
mengi kuliko hata wataalamu
wengine wa sheria ambao
walikuwa wanaume.
Nilipojaribu kumfikia Mghwira
kwa ajili ya kupata taarifa zake
za kina na maisha binafsi,
nilijikuta nashushiwa maswali
matano mfululizo kiasi
kwamba nilirudi kujipanga na
kumtafuta tena. Huyu ni
mwanasiasa wa kisasa ambaye
anahoji kila jambo lililoko
mbele yake, sifa hii wanaikosa
wakuu wengi wa nchi.
Pamoja na kuwa na elimu
kubwa, uzoefu wa kutosha wa
kukaa nje ya nchi na kufanya
kazi na taasisi za kitaifa na
kimataifa, Mghwira ni
mwanamama wa kawaida
sana. Watu wa karibu naye
wanamtaja hivyo. Si mtu wa
kupoteza muda na mambo
yasiyo na tija, anapenda
kuandika makala za kuelimisha
jamii, kufanya kazi na jamii na
kujitolea na kujichanganya na
wananchi wasio na uwezo na
wenye kuhitaji msaada. Sifa
zote hizi ni nguvu muhimu
kwa binadamu yeyote ambaye
anahitaji uongozi mkubwa wa
nchi.
Jambo la kwanza linalompa
nguvu mwanamama huyu ni
umahiri katika elimu. Yeye ni
msomi nguli wa masuala ya
sheria lakini ana shahada tatu
za vyuo vikuu. Nchi yoyote
ingependa pamoja na sifa
nyingine, iongozwe na Rais
ambaye elimu si kikwazo
kwake. Kwa nchi kama
Tanzania ambayo mfumo dume
umewakandamiza wanawake
kwa kipindi kirefu, Mghwira
anakuwa mmoja wa wanawake
wachache wenye uwezo
mkubwa.
Kwa sababu Mghwira ni
mwanamke imara na
anayepambana kwa muda
mrefu sasa. Kitendo tu cha
yeye kuwa mwanamke ni
baraka tosha kwa siasa za
kisasa ambazo zinaanza
kuchangamkia, kukubali na
kutafuta mchango wa
wanawake katika nyanja za
kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Jinsia yake inampa fursa ya
kuendelea kuaminiwa zaidi
katika jamii ambayo inazidi
kupoteza imani na uaminifu
wa wanaume.
Lakini nguvu ya tatu ya
Mghwira ni uthubutu.
Ameniambia kuwa hata
alipoingia katika ndoa bado
alithubutu kujiendeleza
kielimu bila kuchoka.
Alipambana na changamoto za
ndoa na shule. Wanawake
wengi huchagua kufanya
jambo moja na kuacha
mengine, yeye alikwenda nayo
yote na kuyakamilisha salama.
Uwezo na uthubutu huu
vinamfanya kuwa
mwanamama imara anayeweza
kukabidhiwa uongozi wa
taasisi kubwa.
Mghwira ni mtu wa kuhoji kila
jambo, si mwanamama “Ndiyo
Mzee”. Wakati natafuta maoni
ya watu waliowahi kufanya
naye kazi katika Kituo cha
Sheria na Haki za Binadamu,
mtendaji mmoja aliniambia
kuwa ukimpa Mghwira kazi ya
harakati iliyo kwenye
maandishi, hataondoka kwako
hadi umpe taarifa za kina za
kila jambo na atakuhoji hadi
utachoka.
Hata mtaalamu mshauri wa
chama hicho Profesa Kitila
Mkumbo ameniambia kuwa
wakati wanafanya
marekebisho ya katiba ya
chama cha ACT walikabidhi
kazi hiyo kwa jopo maalumu la
wataalamu akiwemo Mghwira.
Profesa Kitila ananiambia
kuwa kwa kiasi kikubwa
katika timu hiyo, Mghwira
ndiye aliyehoji na kutoa
mapendekezo ya masuala
mengi kuliko hata wataalamu
wengine wa sheria ambao
walikuwa wanaume.
Nilipojaribu kumfikia Mghwira
kwa ajili ya kupata taarifa zake
za kina na maisha binafsi,
nilijikuta nashushiwa maswali
matano mfululizo kiasi
kwamba nilirudi kujipanga na
kumtafuta tena. Huyu ni
mwanasiasa wa kisasa ambaye
anahoji kila jambo lililoko
mbele yake, sifa hii wanaikosa
wakuu wengi wa nchi.
Pamoja na kuwa na elimu
kubwa, uzoefu wa kutosha wa
kukaa nje ya nchi na kufanya
kazi na taasisi za kitaifa na
kimataifa, Mghwira ni
mwanamama wa kawaida
sana. Watu wa karibu naye
wanamtaja hivyo. Si mtu wa
kupoteza muda na mambo
yasiyo na tija, anapenda
kuandika makala za kuelimisha
jamii, kufanya kazi na jamii na
kujitolea na kujichanganya na
wananchi wasio na uwezo na
wenye kuhitaji msaada. Sifa
zote hizi ni nguvu muhimu
kwa binadamu yeyote ambaye
anahitaji uongozi mkubwa wa
nchi.
Kutokana na vyama vya ccm na chadema kukosa wagombea wenye sifa,ni wakati wa bingwa wa sheria kuongoza nchi kutokana na rekodi zake za uchapa kazi,Utu,Uzalendo na Uadilifu.
Chagua Anna Mghwira awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwaka 2015-2020.
No comments:
Post a Comment