Wednesday, 19 August 2015
NIMECHEKA KIMYA KIMYA, NI UKWELI MTUPU NDUGU YANGU ISRAEL SARIA
Naona niki mbele mbele tu, watu tuko nje ya nchi, hatujajiandikisha kupiga kura, ( TANZANIA hairuhusu raia wake walioko nje kupiga kura) hatuwezi kupiga kura, wagombea hawaji huku kupiga kampeni, bado tunajifanya tunajali saana!! wacha nipate lunch yangu!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment