Friday, 21 August 2015

MICHEZO:PEDRO RODRIGUEZ KUTAMBULISHWA CHELSEA


LONDON, ENGLAND
MSHAMBULIAJI mpya wa klabu ya Chelsea ya nchini England, Pedro Rodriguez, anatarajiwa kutambulishwa kesho Jumapili katika mechi dhidi ya West Brom, itakayochezwa katika Uwanja wa The Hawthorns.
Chelsea imemsajili mshambuliaji huyo kwa pauni milioni  21.1 na kuipiku Manchester United, iliyokuwa ikimuwania.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!