Friday, 28 August 2015
MAJAMBAZI YAVAMIA DALADALA LA UBUNGO-KARIAKOO MAENEO YA JANGWANI
Majambazi wamevamia daladala Ubungo Kariakoo maeneo ya Jangwani, mtu mmoja (abiria) aliyekuwa amebeba mfuko amepigwa risasi, watu kadhaa wamejeruhiwa.
Majambazi haya yalikuwa na Pikipiki aina ya Boxer , kabla ya kupiga risasi walitaka abiria atoe hilo fuko la fedha yeye akagoma akiaangalia kama atapata msaada kutoka kwa abilia ndipo walimwambia dereva kusimama na kutwanga risasi huyo abiria akaachia fuko linalosemekana kuna fedha, haijajulikana ni fedha au ni dhahabu/Tanzanite maana abiria alikuwa awezi tena kuongea.
Taarifa kamili zitakuja punde.
CRD:JMF
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment