Friday, 21 August 2015

LULU: MAISHA YA MAMA YANGU YALINIFANYA NIANZE UJENZI NIKIWA NA MIAKA 14


Msanii nyota wa Filamu Elizaberth Michael LULU ni miongoni mwa mastar wachache ambao wanamiliki mijengo yao wenyewe, ukiachilia mbali umri aliyonao msanii huyo lakini uwa anaivuta pumzi akiwa kwenye mjengo wake. Akipiga stori na Bestizzo Lulu alisema...


"Nilianza kujenga zamani nikiwa na umri wa miaka 14 hivi, nilikuwa nikipata pesa kidogo kidogo nampa mama yangu. Taratibu hadi nilipo maliza ujenzi lakini naamini maisha ya mama yangu niliyokulia nikimuona akiangaika yalichangia sana kunifanya kuwa na jicho la tatu" 

CRD:BESTIZO

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!