Wednesday, 12 August 2015

KITCHEN PARTY YA FLAVIANA MATATA YAFANA!


CUSTOMIZED DRESS from scrach….ikiwa imesimamiwa na ze stylist ROSE KOKUHILWA ‘FASHION JUNKII’


Ni kwa neema tuuuuuu na rehemaaa, ni kwa neema tuu……ndo nyimbo ilikuwa inaunguruma kwa spikaaa na mabiharusi na mwenzie akawa wanaingia kwa kunesa nesa


   

MISA YA SHUKURANI ILIFANYIKA NYUMBANI MCHANA

naturalista hadi siku ya harusi

MADAMEEE DIANA AKITUMIKA
HATIMAYE USIKU UKAWASILI BI HARUSI AKAZAMA UKUMBINI

TUKIO Lililofuata ni ufunguzi wa champagne….mambo ya cheers na nini….B12 alisimamia show
Pi harusi wakati akimsaka WAubani akajaa tumpe password aliko
MENGINEEEE TUWAACHIE BABA NA MAMA…… YASHINYANGA YALIBAKI SHINYANGA
 

Posted: 11 Aug 2015 08:47 AM PDT

WAKATI TUKIJISUUZA KWA SWIMMING POOL BAADA YA CHAI YA JIONI MAMAA HILDA WA SMILEY KIDS EVENTS ALIKUWA MZIGONI KUTUANDALIA SEHEMU YA DINNER

SHUGHULI ZA JIGAUNI MBURUZOO NDO HIZI UKICHEZA SHURTI ULIWEKE MKONONI 
SELFIE WITH THE BRIDE TO BE
    

MKUBALI TU HALI HALISI ni hii mzigo wa kula……huku kubebwa muhimuuu

FMF FLAVIANA MATATA FOUNDATION ILIHUSIKA KIMTINDO , MNAKUMBUKA ILE KAMPENI YETU YA KUGAWA MABOYA….TULIFURAHI KUVAA KUWA MABOYA USAFIRI SALAMA MAJINI

NA TULITINGA KISIWANIIIIII
PAZURIIII YANI PICHA TU INAKUPA AMANI YA MOYO
 
WENYEJI WETU LAZY LAGOON ….HAO MBWA NI VERE FRIENDLY shost alikuwa kila akikutana nao wanabusu mi sikuwa na muelewa…hoby za kizungu

MAPOKEZI …..NI KWA GLASS YA JUICE

MBWA NAE KAMGANDA FLAVY 

#FLAVYBRIDALSHOWER #BRIDALSHOWERATTHEBEACH

NI SWAGGA TU ZA BEACH #BEACHTINGZ

MIWANI YAJIELEZA #TEAMBRIDE
  

POZI ZINGINE TUWAACHIE MAMODEL
   

MHUSIKA MKUU MMEMUONA NA POZI ZAKE 
   

BAADA YA KUMALIZANA NA BEACH TINGS TUKAHAMIA HUKU

FOR TEA BREAK NA SWIMMING POOL KUJISUUZA 
 

MKAO WA KIKE SIO MSICHANA UNAKAA MIGUU VWALAA
  
 
 

NDO MAANA TULICHAGUA KISIWANIII JUA LINAZAMA TWALIONA WAKATI HUO SMILEYKIDSEVENTS WALISHATUANDALIA MANDHARI TUKAENDA BADILI FOR #FLAVYBRIDALSHOWERDINNERATTHEBEACH

READY FOR FLAVIANA MATATA BRIDAL SHOWER DINNER AT THE BEACH
  

KIVAZI ON POINT SHUKRANI KWA ZE STYLIST ROSEMARY KOKUHILWA

DETAILS 

BLING BLING

ILIKUWA ALL WHITE HADI KUCHA NATANIA

TEAM BRIDE BAAABBYYY
    

PATA MUONEKANO UTAWAJIA MSIJALII
  
  

MADAM STYLIST ROSEMARY KOKUHILWA ‘FASHIONJUNKII’

DINNER TIME
 

MENGINE TUWAACHIE BABA NA MAMA….YA LAZY LAGOON YABAKI LAZY LAGOON

SIO KWA VICHEKO HIVI LOOOHH
  

THE MOMENT I HATE 


BAADA YA DINNER …KULIKUWA NA SUPRIZE BURUDANI KUTOKA LAZY LAGOON STAFF, WALITUIMBIA NYIMBO TOFAUTI ZA KUMSIFU NA KUMUANDAA MWALI WETU . KUMFUNDA 
 
 

SI KISIWANI BWANA EEHH MDUARA ULIHUSIKAA HASWAA

CHEERS…..TO THE…… MRS TO BE

UKAFIKA MUDA KATA CAKE TULEEE …JIUGONJWA….

BAADA YA DINNER TUKASOGEA PEMBEZONI MWA BAHARI MAHSUSI KWA KUOTA MOTO

BONFIRE!!
CREDIT:8020FASHIONBLOG
PICHA ZOTE KWA HISANI YA 8020FASHIONBLOG.COM

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!