Wednesday, 26 August 2015

KAULI YA UPUMBAVU NA ULOFA ILIVYOCHUKULIWA KAMA ILIVYO!

Hii ndio kauli aliyoitoa mwanadada Joyce kiria leo asubuhi!!''Malofa na wapumbavu wenzangu mmeamkaje??? Ivi huu ulofa na upumbavu tutaacha lini??? Mnaonaje tuuonyeshe ulofa na upumbavu wetu 25/10/2015 ... Ngachokaaaaaaaa''






2 comments:

Sophie mbeyu said...
This comment has been removed by the author.
Anonymous said...

aziz bilal4:54 AM


1
Reply

Sijaona ni kwanini alaumiwe kwa hiyo kauli aliyoitoa,kifupi ninaamini dada Joyce amefikia kunena hayo ,yuko ktk frastruations nyingi sana

na anaavyoliangalia taifa letu haoni aliye pamoja naye ktk kazi zake za kutetea haki za wanawake wa Tanzania,kwa hiyo fikra na matamshi ka hayo zinaweza zikamtokea mtu yeyote yule anayeona na kufikiria taifa haliko pamoja na yeye na halimpi ushirikiano wa kutosha ktk vita yake na wanyanyasaji wa wanawake wa kitanzania,usiwe na wasiwasi Dada Joyce wote hufanya makosa ka binadamu wengine jinsi wafanyavyo,kazi inayoifanya ni nzito na yenye uzito mkubwa zaidi ya hizo shutuma unazopewa kwa matamshi yako,nataka ufahamu sisi ka wanaume waafrika tuko pamoja nawewe,tuko pamoja,uko juu sana,na pia usisahau kupiga kura yako ktk uchaguzi ujao. Mdau From Toronto Canada.

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!