Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye atangaza rasmi kujivua uanachama wa CCM na kuhamia upinzani(UKAWA)
-Hajaridhika na mchakato wa kumpata mgombea Urais
Akizungumza na waandishi wa Habari leo mchana Jijini Dar es salaam ,Sumaye amesema amefikia hatua hiyo baada ya kuchoshwa na uvunjaji wa kununi ndani ya CCM ikiwemo katika harakati za kumteua mgombea wa Urais kwa upande wa CCM akidai mwenyekiti wa chama hicho Jakaya Kikwete alitumia ubabe katika kuwaingiza watu wake tano bora.
Habari zaidi tutakuletea pindi tutakapozipata Endelea kuwa nasi.......
No comments:
Post a Comment