Sunday, 30 August 2015

JK AIBARIKI MAMA ONGEA NA MWANAO.

Mama Sepetu na mwanae Wema Sepetu...
Mama Ongea na mwanao ni kampeni ambayo imeanzishwa na baadhi ya wasanii wakiongozwa na Steve Nyerere na Wema Sepetu kwa lengo moja tu la kuwaamasisha wazazi kuongea na watoto wao na kuwapa Elimu juu ya mambo mbalimbali kuhusu uchaguzi pamoja kuwahamasisha kuipigia kura CCM chama ambacho wanaamini kinao uwezo wakuwaletea maendelea wayatakayo...


Hafla hiyo ilifanyika Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es salaam na mgeni rasmi alikuwa Mh. Jakaya Mrisho Kikwete rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

 DK. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wageni ndani ya ukumbi wa Hyatt Regency Dar es Salaam.
Muziki kidogo...
Wema akimkabidhi Dk. Jakaya Kikwete zawadi... pembeni ni zamaradi mketema


Wema Sepetu akisoma hotuba kwa mgeni rasmi Dk. Jakaya Mrisho Kikwete...
Mama Kanumba na Wema Sepetu...

Mama ongea na Mwanao wakimkabidhi Dk. Jakaya Kikwete zawadi ya Mama Salma Kikwete ambayo walimuandalia...
JK na Zamaradi Mketema
Mama Sepetu akiteta jambo na Dk. JK


Mama ongea na Mwanao wakimkabidhi Bi Asha Rose Migiro zawadi waliyo muandalia ya Kitenge..

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!