Gari lenye usajili T 896 BFB likiwa limeacha njia na kuanguka Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma , ambalolilikuwa limesheheni mzigo kupita uwezo wake na mizigo hiyo kuhamishiwa katika gari jingine. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Wahusika wakifunga mizigo hiyo japo haikufahamika mara moja nimizigo gani.
Mizigo hiyo ikihamishiwa katika Gari lenye usajili T 267 DCW ili waweze endelea na safari hiyo.
1 comment:
aziz bilal02:30
1
Reply
Inatisha sana.
Post a Comment