Friday, 17 July 2015

YALIYOJIRI MAGUFULI ALIPOTUA ZANZIBAR KUTAMBULISHWA









Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akipanda ndege katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, tayari kwa safari ya kwenda Zanzibar kutambulishwa kwa wanachama.



 Mgombea Urais kwa tuketi ya CCM, Dk. John Magufuli akiwa na mgombea mwenza wake, Samia Suluhu Hassan, wakati wa safari kutoka Uwanja wa Julius Nyerere kwenda Zanzibar leo, kwa ajili ya Chama kuwatambulisha kwa wananchama



 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akishuka kwenye ndege na mgombea mwenza wake, Samia Suluhu Hassan, baada ya kuwasili mjini Zanzibar leo, kwa ajili ya utambulisho kwa wanachmacha wa CCM katika kisiwa hicho, 













Naibu Katibu kuu wa CCM, (Zanzibar), Vuai Ali Vuai, akimlaki Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, mgombea huyo alipowasili leo mjini Zanzibar kwa ajili ya utabulisho kwa wanachama, viwani humo. Kushoto ni Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi,  akimlakini Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli aliyewasili Kisiwani hapa leo, kwa ajili ya kutambulishwa na Chama.. Wapili kulia ni Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan.


 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akimsalimia aliyekuwa Spika wa Baraza a Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho,  alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama, leo
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akimsalimia Waziri wa Ulinzi  na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi,  alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama, leo
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akimsalimia Waziri Kiongozi Mstaafu, Shamsi Vuai Nahodha,  alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama, leo. Kulia ni Vuai Ali Vuai na wapili kulia ni Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akivishwa shada la maua na kijana wa Chipukizi wa CCM, alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama, leo. Kushoto ni Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, na mgombea wake Mwenza Samia Suluhu Hassani wakimeremeta baada ya kuvalishwa mashada ya maua na vijana wa Chipukizi. w alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama, leo. Kulia ni Vuai Ali Vuai
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akimsalimia viongozi mbalimbali  alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama, leo
  Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, na mgombea mwenza wake wakimsalimia viongozi mbalimbali  w alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama, leo. Kushoto ni Vuai Ali Vuali akitambulisha.
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, na mgombea mwenza wake wakimsalimia viongozi mbalimbali  w alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama, leo. Kushoto ni Vuai Ali Vuali akitambulisha.
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, na mgombea mwenza wake wakimsalimia viongozi mbalimbali  w alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama, leo. Kushoto ni Vuai Ali Vuali akitambulisha.
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, na mgombea mwenza wake wakimsalimia viongozi mbalimbali  w alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama, leo. Kushoto ni Vuai Ali Vuali akitambulisha.
 Mtangazaji wa Uhuru FM,  Steve Mhina Dungumalo, akitangaza live,  Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, na mgombea mwenza wake walipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama, leo. Kushoto ni Vuai Ali Vuali akitambulisha.
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akijibu maswali mbalimbali alipozungumza na waandishi wa habari, alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama, leo. Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd na Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan.
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, na mgombea mwenza wake Samia Suluhu Hassan (watatu kushoto), wakifurahia kaswida, iliyotumbuizwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume, walipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama, leo. Kushoto ni Vuai Ali Vuali akitambulisha.
 Msafara wa Dk. Magufuli na mgombea wake mwenza, Samia Suluhu Hassan,  ukienda Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar,
 Bango la kumkaribisha Dk. Magufuli Zanzibar, lililokuwa kwenye Maskani iliyopo eneo la Michezani.
 Wana CCM, ni mjini Zanzibar wakiwa na bango la kumkaribisha Kinana
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, na mgombea mwenza wake Samia Suluhu Hassan wakiwapungia mikono wana CCM na wananchi waliofika kuwalakini, walipokuwa katika gari la Wazi kuanzia Maskani ya Kachorora kwenda Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui, walipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama, leo. Kushoto ni Vuai Ali Vuali akitambulisha. 
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, na mgombea mwenza wake Samia Suluhu Hassan wakiwapungia mikono wana CCM na wananchi katika eneo la Michenzani, waliofika kuwalakini, walipokuwa katika gari la Wazi kuanzia Maskani ya Kachorora kwenda Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui, walipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama, leo. Kushoto ni Vuai Ali Vuali akitambulisha. 
 
 Baadhi ya wananchi wanaoishi katika maghorofa ya Michenzani wakiutazama msafara wa Dk. Magufuli ulipokuwa ukikaribia kufika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar leo
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, na mgombea mwenza wake Samia Suluhu Hassan wakiwapungia mikono wana CCM na wananchi waliofika kuwalaki, walipokuwa katika gari la Wazi kuanzia Maskani ya Kachorora kwenda Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui, walipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, na mgombea mwenza wake Samia Suluhu Hassan wakiwapungia mikono wana CCM na wananchi waliofika kuwalaki. 
  Vijana wakiwa katika hali ya shamrashamra wakati wa mapokezi ya Dk. Magufuli mjini Zanzibar
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, na mgombea mwenza wake Samia Suluhu Hassan wakiwsili Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui,  kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama, leo. 
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akivishwa skafu Afisi Kuu ya CCM Kisiwandu. Wapili kulia ni mgombea mwenza wake Samia Suluhu Hassan
 Mgombea mwenza Samia Suluhu akivishwa skafu
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akiwasalimia wazee maarufu, alipofika kuzuru kaburi la muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, Abeid Amani Karume, Kisiwandui,  Zanzibar leo.Kushoto ni mgombea mwenza Samia Suluhu 
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akishiriji kuomba dua kwenye kaburi la muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, Abeid Amani Karume, Kisiwandui,leo
Dk. Magufuli akitoa kuzuru kaburi hilo
 Dk. Magufuli akienda kuingia katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar
 Dk. Magufuli na Mgombea mwenza wake wakiwa katika Ofisi Kuu ya  CCM Kisiwandui. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mjini, Borafya Juma Silima
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rajabu Luhavi katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo wakati wa ujio huo wa Dk. Magufuli
 Dk. Magufuliakisindikizwa kwenda kukutana na Mgombea wa Urais wa xanzibar kwa tiketi ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein
 Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein akimsalimia kwa bashasha mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, mgombea huyo alipowasili leo mjini Zanzibar kwa ajili ya utambulisho kwa wana CCM. Kulia ni Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan. 
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akiwasalimia wana CCM walifika kwenye Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar, alipofika leo kwenye Ofisi hiyo kwa ajili ya utambulisho. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein

 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein wakati wa hafla maalum ya kutambulishwa mgombea huyo kwa wanachama wa CCM, kwenye Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli akizungumza wakati wa hafka ya kumtambulisha, iliyoyanyika kwenye Viwanja vya ndani vya Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar..Picha na Bashir Nkorommo-theNkoromo Blog

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!