.Wema Sepetu alikuwa ni miongoni mwa watu wanaogombea ubunge viti maalumu mkoani Singida lakini hakuwa na bahati ya kushinda au kuingia bungeni kutokana na kura zake kuwa ndogo.
Staa huyo aliibuka na kupata kura za maoni za ubunge 90 huku wagombea wenza wakiongoza kwa kura za maoni, Aysharose Mattembe (311), Martha Mlata ( 235) na Diana Chilolo (182).
.
Japokuwa hakushinda katika kinyang’anyiro hicho Leo July 26 alipata mapokezi makubwa kutoka kwa mashabiki wake, nimekusogezea hizi picha hapa za mapokezi.
Wema Sepetu akizungumza na mashabiki baada ya kutoka safarini.
.
.
Mashabiki wa Wema Sepetu .
Ni miongoni mwa michezo iliyokuwa ikitawala leo July 26 mchana kwenye mapokezi hayo .
.
.
.
.
.
Mtu wangu hii ni michezo iliyokuwa ikitawala leo July 26 katika mapokezi hayo.
Wema Sepetu akipiga picha aina ya selfie na mashabiki zake.
.
.
.
.
.
.
.
Wema akipiga picha na shabiki.
.
.
.
Mashabiki.
.
Petiman akipiga picha aina ya selfie na mashabiki.
.
Picha kwa hisani ya Millard Ayo.com
No comments:
Post a Comment