Sunday, 26 July 2015

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOONGOZA WATANZANIA KUADHIMISHA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA MAPEMA JANA

1
Brass Bendi ya Jeshi ikiingia kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kuanza Maadhimisho.

Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO
23
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa (JWTZ) , Luteni Jenerali Samweli Ndomba akisalimiana na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli baada ya kuwasili viwanja vya mnazi mmoja.
4
Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho akiwasili.
5
Spika wa Bunge la Jamhuri Anne Makinda akiwasili.
6
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd.
7
Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri, Dkt. Mohamed Gharib Bilal akiwasili.
8
Rais Jakaya Kikwete akiwasili.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!