1. Muheshimu anayekununulia
2. Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa
kitini
3. Uwe ndie mchekeshaji wa kikao,
lakini usimkatishe mazungumzo
anaetoa ofa
. Mtoa ofa akikutuma popote
usikatae
6. Mtoa ofa akiupenda muziki fulani,
we anza kucheza kwa bidii kabisa
8. Usinywe kwa pupa, kunywa
mafunda madogomadogo
10. Mtoa ofa akitoa kichekesho
cheka sana hata kama hakichekeshi
No comments:
Post a Comment