Baada ya Shilole Kusema Amechoka na Nuhu Mziwanda kwa Kuwa Haridhiki na Kuamua Kuwasha Gari ..Nuhu Mziwanda kaupata ujumbe wa Shilole naye akaamua Kujibu Hivi:
Mwanaume wa kweli ukaa kimya'sibishani na upumbavu'mwanamke asieridhika na kujua kua kathaminiwa mpaka tatoo kachorwa'na kuvumilia mambo yote alionifanyia ya kuniaibisha mbele ya mashabiki zangu'familia na'wasanii wenzangu na wadau'anaanza kunitukana mitandaoni for whaaaat!!! Mxeeeeew'mimi bado kijana na nna time ya kupata maisha yangu na mtu atakae thamini moyo wangu 'nawaachia wanaume wenzangu na nyie mjaribu zari 'mimi nacheka tu @AsHaNgeDerE<
No comments:
Post a Comment