️️
Mchanganyiko wa boga,viazi na karoti baada YA kukatakata
Watoto wanapofikisha ️Miezi sita ndipo wanapoanza kula chakula vigumu. Leo tutamwandalia mtoto chakula chepesi na kinasaidia kupata choo kwa urahisi!
MAHITAJI.
1.Boga 1/2
2.Viazi mviringo 2
3.karoti 1
4.Olive oil ️Au siagi isiyo na chumvi.
5.Maziwa au supu nyama ️Au kuku ️Au
JINSI YA KUPIKA
Menya boga ,viazi na karoti na safisha kwa Maji safi,kata vipande vidogo vidogo .
Bandika sufuria jikoni likipata moto weka olive oil ️Au butter,weka mchanganyiko Wako wa boga,viazi na karoti ongezea vikombe 2 funika wacha kiive kwa dakika 25.
Epua tayari kusaga kwenye blenda kama huna tumia kuponda ponda kwa uma.
Kwa ️watoto wa ️Miezi 6-7 usitumie mchuzi tumia Maji sababu ️️watoto wanaanza kula nyama wakiwa na ️Miezi 8.Utakapo saga ️unaweza ukaweka Maziwa ya mama ️Au kopo .
No comments:
Post a Comment