New York, Marekani
BABA wa Kim Kardashian, Caitlyn Jenner ambaye kwa sasa ni mwanamke ameibuka na kusema kuwa uanamke umemfanya aachane na unywaji wa bia na sasa amehamia kwenye vinywaji laini kama mvinyo.
BABA wa Kim Kardashian, Caitlyn Jenner ambaye kwa sasa ni mwanamke ameibuka na kusema kuwa uanamke umemfanya aachane na unywaji wa bia na sasa amehamia kwenye vinywaji laini kama mvinyo.
Caitlyn amekuwa akionekana na wanawake wenzake sehemu mbalimbali za starehe ambapo amekuwa akijiachia kwa vinywaji hivyo na kudai sasa hawezi tena kunywa bia na vinywaji vingine vikali kwani vinaondoa haiba ya uanamke.
“Mwanzo nilikuwa nikijiachia na kulewa sana kwa pombe kali ila kwa sasa nimeamua kuwa mwanamke kamili, silewi kama zamani, natumia vilevi laini,” alisema jike dume huyo
IMETAFSIRIWA NA GPL.
No comments:
Post a Comment