Sunday, 26 July 2015
ATHARI KIAFYA YA VINYWAJI VYA KUSISIMUA'ENERGIZERS'-
Miongoni mwa watumiaji wakubwa wa vinywaji hivi ni wanamichezo na madereva hasa wa magari yanayofanya safari za masafa marefu(hussein jumaa upoo?)ambao wanaamini kuwa kwa kutumia vinywaji hivi huongeza nguvu za mwili,kasi ya vitendo,umakini na kupunguza uwezekano wa kupata usingizi.
Wengine huenda mbali zaidi na kuvichanganya na pombe. Vinywaji vya kuongeza nguvu visivyo na kilevi vina kiasi kikubwa cha kafeini(ambayo huccmua ubongo),vitamin pamoja na kemikali za taurine na glucuronolactrone. wakati mwingine pia huongezewa dawa aina ya guarana pamoja na ginseng kwa lengo la kuccmua akili na kuongeza nguvu za mwili. Watengenezaji wa vinywaji hivi huweka kiasi kikubwa cha kemikali kuliko inavyotazamiwa katika hali ya kawaida na hawaonyeshi katika lebo ama karatasi ya maelezo inayobandikwa kwenye kifungashio. Tafiti ilofanywa mwaka wa 2014 na American Heart Association ilibain kuwa kunywa kopo moja hadi tatu kwa cku husababsha athari ya moyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment