Kada wa chadema ndugu Innocent Peter Kamani akizungumza katika kipindi cha Hello Tanzania Uhuru FM kuwa anarudisha kadi ya Chadema na kuwa mwanaharakati kutokana na chama hicho kuwahadaa wanachama wake baada ya waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi kujiunga Chadema.
VIA-FULLSHANGWE BLOG
No comments:
Post a Comment