Wednesday, 3 June 2015
MOJA YA ZOEZI LITAKALOKUPA SHEPU YA TUMBO UITAKAYO!
Inua goti lako la kulia kuelekea kifuani. rudia na mguu mwingine. Hiyo ni 1 rudia mara 2 au 3 ya 5 hadi 10.
shikilia kwa sekunde 60. Kama huwezi kufanya hivyo kwa sekunde 60, fanya kwa sekunde 5 hadi 10 na kupumzika kwa sekunde 5, kuendelea kwa dakika 1.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment