Kibaka akiwa amekula kichapo cha maana baada ya kukamata na Wizi huo wa Laptop.
Aliyevaa Kilemba ni mama akieleza jinsi wizi ulivyotokea
Hapa akipelekwa eneo ambalo ameiba
Baadhi ya vitu ambavyo jamaa alikuwa ameiba
Kibaka akielezea maswala ya uongo kabla wananchi hawajaanza kumpa kichapo
Hapa ndipo alipo banjua kabla ya kuiba.......
Hizi ndizo Nyenzo zake alizokuwa akitumia wakati wa uharifu wake..
Akiwa amepigwa jiwe
Laptop ambazo alikuwa amekamatwa nazo
Picha na Dar es salaam yetu Blog
No comments:
Post a Comment