Wednesday 6 May 2015

YANGA MABINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA 2014/15

Yanga Bingwa VPL 2014-2015
Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1.

Yanga Bingwa VPL 2014-2015
Mgeni Rasmi katika Mchezo huo, Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub cheti cha pongezi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani, Sepp Blatter kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara 2014 - 2015.Kushoto ni Rais wa TFF, Jamal Malinzi na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji.
Yanga Bingwa VPL 2014-2015
Hongera Yanga SC kwa kutwaa Ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015.
Yanga Bingwa VPL 2014-2015

Yanga Bingwa VPL 2014-2015
Mwali akitolewa Nje tayari kwa kukabidhiwa mabingwa Yanga SC kwa mara ya 25.
Yanga Bingwa VPL 2014-2015

Wachezaji wa Yanga SC wakiendelea na shamra shamrra za Ushangiliaji wa Ushindi huo wa kombe la Ligi Kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2014-2015

KWA HISANI YA FAHARI YA KUSINI

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!