Sunday, 3 May 2015
TAARIFA JUU YA KUAHIRISHWA KWA MKUTANO WA NSSF JIJINI ARUSHA
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii linasikitika kuwatangazia Wadau wake
wote na umma kwa ujumla kuwa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu
Mkutano wa Tano wa Wadau uliokuwa ufanyike tarehe 5-7 Mei, 2015 jijini
Arusha umeahirishwa.
Tarehe mpya ya mkutano huo itatangazwa kwenye vyombo vya habari.
Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza na utakaojitokeza.
Kwa maelezo zaidi tafadhali usisite kuwasiliana na Idara ya Uhusiano
na Huduma kwa Wateja au Meneja NSSF Mkoa wa o si ya NSSF iliyo karibu
nawe.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na;
Meneja Kiongozi,
Idara ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja
Simu ya Bure: 0800756773,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment