Sunday, 17 May 2015

MWALIMU WA SHULE YA MSINGI AJINYONGA-IRINGA



Mwalimu mmoja wa Shule ya Msingi Isangwa, Wilaya ya Kalolo Mkoa wa Iringa amejinyonga usiku wa kuamkia leo. Zilikuwa zimebaki siku chache afunge ndoa!

- Ameacha ujumbe kwenye karatasi, Unaosema kachoka Kutishiwa...





VIA-JMF

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!