Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba akisalimiana na Katibu wa Vijana Jimbo la Ukonga wakati wa uchangiaji Damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na ikiwa Chama hicho kikitimiza Mwaka Mmoja toka kuanzishwa kwa chama hicho (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba akisalimiana na viongozi mbalimbali wa chama hicho kulia ni Afisa Habari wa chama hicho,
Mwenyekiti Ngome Wanawake Jimbo la Kinondoni Asma Miraji akimkabidhi kadi Omar Hashimu kujiunga na chama cha ACT mara walipo fika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam , ambapo Dereva huyo alikua amemfata mkewe hospitalini hapo.
Mwenyekiti Ngome Wanawake Jimbo la Kinondoni Asma Miraji (kushoto) akimkabidhi kadi
Amina Kibwana (kulia) baada ya kuomba kujiunga na chama cha ACT wakati wa chamahicho lilipofika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam kuchangia Damu katikati ni mfanyakazi wa Hospitali ya Taifa muhimbili Salama Kasembe
Amina Kibwana (kulia) baada ya kuomba kujiunga na chama cha ACT wakati wa chamahicho lilipofika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam kuchangia Damu katikati ni mfanyakazi wa Hospitali ya Taifa muhimbili Salama Kasembe
Wanachama wakimsikiliza kwa makini Mnasihi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Ishengoma (pichani hayupo) alipokua akitowa maelezo kwa Wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo walipo fika Hospitalini hapo kuchangia Damu wakiongozwa na Katibu Mkuu Taifa wa Chama hicho cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba (kulia)
Wanachama wa chama cha ACT Wazalendo wakisubiri huduma huku Amir Kabwe (wakwanza kushoto) akimuelekeza jambo Mwenyekiti Ngome Wanawake Jimbo la Kinondoni Asma Miraji (kulia)
Mnasihi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Ishengo akitowa maelezo kwa Wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo walipofika Hospitalini Hapo kuchangia Damu ikiwa Chama hicho kimetimiza Mwaka Mmoja toka kuanzishwa kwa Chama hicho.
Mkurugenzi Huduma za Tiba Shirikishi Daktari, Praxeda Ogweyo (wakwanza kulia) akiwakaribisha na kuwashukuru wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo kwaniaba ya Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, ambapo wanachama hao waliongozwa na Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba na anae mfatia kulia kwa Daktari ni Mkurugenzi wa Idarara Maabara Kuu Hospitalini hapo Daktar Alex Magesa
Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba akishukuru kwa uongozi na mapokezi waliyoyapata Hospitalini hapo mara walipofika katika Hoapitali ya Taifa kuchangia Damu
Mwenyekiti Mkoa Hamis Chambuso akiiongea na waandindishi wa Habari (pichani hapo) akiomba watu kujitokeza
Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba akiweka Saini wakati alipokua akijianda kutolewa Damu kwa kuchangia kwa hiyari alipofia Hospitalini hapo na wanachama Mbalimbali huku chama hicho kikitimiza Mwaka mmoja.
Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba (kushoto) Amir Kabwe wakiwa wamelala katika vitanda Maalum kwa wachangiaji Damu
Muuguzi Mkunga wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Ruth Geay (kushoto) akimtoa Damu Amir Kabwe.
Muuguzi Mwangamizi Judith Kayombo akimtowa Damu Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba
Muuguzi Mwangamizi Judith Kayombo akiichanganya Damu wakati alipokuwa akimtoa Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba
No comments:
Post a Comment