INASIKITISHA! ALI KIBA AONGELEA JINSI ALIVYOVAMIWA!
3 comments:
Anonymous
said...
aziz bilalYesterday 11:43 PM
Hiyo ndiyo Bongo Bongo, kunatisha sana,mwenyezi mungu azidi kutulinda wote pamoja na ndugu zetu tuliowaacha huko.Pole sana mshikaji Ali wewe fanya ibada sana na utalindwa na mola.
Tena hivyo vijikundi vyenyewe vimechoka vimemuibia mpaka vitu vya electronics ,simu zote na game stations zake walichota,je huoni kuwa hao wezi wenyewe ni wachovu sana

MUBARAKHA KIMWELI17:27
Unajua ni tuvijikundi twawatu waliopoteza dira tu ya maisha.Kwahiyo wanatafuta kipato kwa njia rahisi lakini wanasahau kuwa risk kwako
aziz bilal2:35 AM

Post a Comment