Wednesday 6 May 2015

Juventus itaongoza kwa ushindi mwembamba katika Mchezo  wao wa nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa  kwenye marudiano dhidi ya  timu ya  Real Madrid baada ya ushindi wa mabao 2-1 ndani ya  Torino.

Wenyeji walitangulia kuongoza kupitia kwa mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid 
Alvaro Morota, lakini Christiano Ronaldo aliisawazishia timu yake dhidi ya wenyeji kabla ya nusu saa kutimia kwa kichwa




Carlos Tevez aliwaadhibu Real Madrid kwa mkwaju wa penati iliyotolewa baada ya kuangushwa kwa Dani Carvajal, na kuwafanya waongoze kwa mabao mawili kwa moja na sasa wanajiandaa kwa mchezo wa marudiano utakaopigwa wiki ijayo huko uhispania 

Carlos Tevez scored the winner for Juventus from the spot




1 comment:

Anonymous said...


Sawa leo mmebahatisha, siku ilikuwa ni yenu

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!