Thursday 7 May 2015

Je Bayern itaweza kukifanya kwa Barcelona ilichokifanya kwa FC Porto?


Mabao mawili ya kipindi cha pili ya mchezaji mashuhuli wa Barcelona Lionel Messi liyefunga katika dakika ya 76 na 77  na moja kutoka kwa Neymar aliyo yameipa ushindi wa awali wa  mchezo wa nusu fainali ya klabu  bingwa barani ulaya  kati ya Barcelona na Bayern Munichna kuwafanya vijana wa Luis Enrique kuwa mbele ya vijana wa Guardiola kwa mabao matatu, je Bayern watayarudia yale waliyoyafanya kwa FC Porto kwa kuwafunga Barcelona zaidi ya mabao matatu bila ya majibu?




Kocha wa Bayern Pep Guardiola alijaribu kuwapa ulinzi wa kutosha washambuliaji mahili wa Barcelona, Messi, Suarez na Neymar kwa kuwaweka mabeki watatu wa Bayern ambao kazi yao ilikuwa ni kuwakaba washambuliaji hao kwa mfumo wa man-marking( mtu na mtu ) 


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!