
Kutoka
South Africa Rapper
A.K.A staa wa hit single ya
All eyes on me ft. Burna Boy,
Run Jozi na
Congratulate ambaye ni miongoni mwa walioalikwa kwenye
Zari All White partyitakayofanyika Ijumaa hii ya
May 1 2015 Dar es salaam amewasili kwenye ardhi ya JK tayari.

Gari la Diamond Platnumz ambalo lina jina la Diamond kwenye plate ndilo lilotumika kumchukua A.K.A mpaka hotelini.

Hii ni mara yake ya kwanza kwa A.K.A kuja Dar es salaam lakini aliwahi kuja Zanzibar miaka kadhaa iliyopita ambapo pamoja na kuhudhuria
Zari All White Party, stori kutoka kwenye team ya Diamond zinasema mkali huyu ataingia studio kabla ya kuondoka kwa ajili ya kurekodi kolabo yao.
No comments:
Post a Comment