Sunday 5 April 2015

KIKUNDI CHA WANAWAKE CHA WOMEN WITH VISION WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA KATIKA MSIMU HUU WA PASAKA

Baadhi ya wakinamama wa kikundi cha women with vision wakiwa katika picha ya pamoja na mlezi wa kituo cha watoto yatima Msimbazi centre wakati walipotembelea na kutoa  msaada wa baadhi ya mahitaji kwa ajili ya kuwafariji na kuwajali katika msimu huu wa sikukuu za pasaka ambapo walitoa msaada katika vituo viwili vya Msimbaz centre na Mburahati 

Wanakikundi wa women with vision wakiongozwa na mwenyekiti wao Herieth Makombe  wakiwa katika kituo cha msimbaz centre walipofika na kutoa misaada ya baadhi ya mahitaji katika kuwakumbuka watoto yatima katika msimu huu wa sikukuu za pasaka 
Baadhi ya mahitaji ambao walitoa katika kituo cha msimbaz centre katika kuawajali watoto yatima wa vituo vya msimbaz centre na mburahati ,.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!