Friday 3 April 2015

AJALI YA BASI LA MASHABIKI WA SIMBA WATANO WAPOTEZA MAISHA BAADA YA BASI KUPINDUKA





Watu watano wamefariki dunia papo hapo na wengine 15 kujeruhiwa baada ya basi waliokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Shinyanga kupinduka mkoani Morogoro. Kwa taarifa za mwanzo zinasema kuwa watu waliokuwa wamepada basi hilo ni mashabiki wa Simba waliokuwa wanatoka Dar es Salaam wakielekea Shinyanga kwa ajili ya kushabikia timu yao ya Simba katika mecho iliyokuwa inachezwa kesho.


Askari wa jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani, akichukua taarifa za ajali  kutoka kwa mmoja wa abiria waliokuwa kwenye gari ilo



Taswira halisi ya basi lililopata ajali mkoani Morogoro baada ya kuinuliwa 
Askari polisi wakiwa na mashabiki katika picha wakati wa kuchukua taarifa za ajali hiyo

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!