Wednesday 1 April 2015

ASKOFU GWAJIMA ATOLEWA POLISI KWA DHAMANA

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa kwenye baiskeli ya wagonjwa Hospitali ya TMJ Dar es Salam jana mchana akielekea  Kituo cha Polisi cha Oyterbay kupewa dhamana.


Gwajima akiingia kwenye gari huku akiwa na maumivu makali wakati akielekea kituoni hapo kupewa dhamana.
Wanahabari wakitoka kituo cha polisi Oysterbay kufuatilia 
habari hiyo.
Wachungaji wakibadilishana mawazo wakati wakimsubiri Askofu Gwajima apewe dhamana.
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wakijiandaa kumpokea Askofu wao 
baada ya kupatiwa dhamana.
........waumini wakiwa kituoni hapo.
Waumini wakiwa wamelizonga gari lililombeba Askofu Josephat Gwajima, huku wakishangilia kwa kusema "yesu yesu" baada ya kupewa dhamana  katika Kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam jana mchana.
Waumini hao wakilipungia mkono gari lililomchukua 
Askofu Gwajima. 
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com)

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!