hatimaye zile ndoto za wema sepetu zaanza kubadilika, tulikuwa tumezoea kumuona mwanadada wema sepetu akitambaa kwenye magazeti ya udaku kwa skendo za kubadilisha mabwana, but this time
wema ameamua kuwaaprove watu hao wrong na kama alivyoahidi yeye mwenye kama huu mwaka atafanya wonders na tayari tushaanza kuona leo hii mwanadada wema sepetu amepata uambasador wa gari aina ya mitsubishi sikii hii kutoka kwa kaka manager martin kadinda Miss Balozi... Katika uzinduzi Rasmi #TheCompletePackage #Mitsubishi Last night..... #Makeup By glambox. #Hair by AmericanNails And Amevalishwa na Martin Kadinda.... Zamda thank You alot u made this Posible
No comments:
Post a Comment