Saturday 21 March 2015
VURUGU ARUSHA BAADA YA BABA MMOJA KUMUUA KIJANA WA KIMASAI
Mtu moja anajulikana kwa jina la "Breki" au "Baba Tony" alimwua kijana wa kimasai baada ya kumfumania na housegirl wake, amempiga kama mnyama amesaga kizazi chote.
Vijana wa kimasai wakakusanyika wamechoma magari yake mawili na nyumba.
Na kama vipi mwili wa marehemu utazikwa pale pale kwenye kiwanja cha mwenye nyumba!
Eti house girl anakufanya uuwe?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment