Tuesday 24 March 2015
UKIZALIWA MASIKINI NI MIPANGO YA MUNGU, KUFA MASKINI NI CHAGUO LAKO-HUDDAR MONROE AONYESHA MAISHA ALIYOKUWA NAYO UTOTONI
Mlimbwende toka Kenya anayeponda maisha kama hana akili nzuri Huddah Monroe amekuwa akizungumziwa sana mitandaoni juu ya utajiri mkubwa alionao, na maisha kifahari anayoishi nchini Kenya, ambapo inasemekana mlimbwende huyu anamagari na majumba yasiyo na idadi.
Katika kuonyesha kwamba utajiri si lazima uzaliwe nao, mlimbwende huyu anasema kuzaliwa maskini ni kazi ya mungu lakini kufa masikini ni kujitakia,akiambatanisha kauli hiyo na baadhi ya picha zinazoonyesha sehemu halisi aliyozaliwa na alipokualia.
Nyumba aliyozaliwa Huddah Monroe hii
If you were born poor thats Gods will,If you die poor thats ur own will....I grew up in an Iron sheet house and not ashamed.So during the day with the sun the house is an Oven and at night its a Freezer so We used to chill in this backyard during the day to cool off and Hoping against hope for better days..
This is where I grew up....Started from the bottom and bottom is an understatement!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment