Je Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha,kuendesha na kusimamia biashara yako?
Tanzania Zalendo wanakuleta Mhadhara wa Jinsi ya KUANZISHA, KUENDESHA na KUDUMU katika biashara.
UKUMBI ni Alliance francaise shuka kituo cha RED CROSS Posta.
Siku ya JUMAMOSI tarehe 21/03/2015.
Muda Ni saa nane mchana Mpaka saa Kumi Jioni.
Utajifunza jinsi ya kuanzisha ,kuendesha na kusimamia biashara kutoka kwa mtaalam wa masuala ya biashara Mhadhiri wa kikuu cha Dar es salaam Dr, Muhsin Masoud wa shule ya biashara.
Mafunzo haya ni BURE
Kwa mawasiliano zaidi piga 0787 66 99 68 au 0714 756 902
WOTE MNA KARIBISHWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment