Thursday, 19 March 2015

NINI KIFANYIKE KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI? AJALI HII IMETOKEA MIKUMI LEO

AJALI NYINGINE YA BASI YATOKEA MIKUMI LEO

 Ajali ya basi iliyotokea muda si mrefu Mikumi na kusemekana watu 8 wamepoteza maisha na wengine 3 mahututi na sababu ya ajali ni mwendo kasi .

Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

KWA HISANI YA VIJANA NA MATUKIO

1 comment:

Anonymous said...


Madereva waache kutumia na kuvuta urabu.

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!