Monday, 23 March 2015

MH.ZITTO KABWE ALIPOZUNGUMZA NA WANAHABARI JIJINI DAR

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe akionyesha kadi ya Chama chake kipya yenye namba 007184 mbele ya waandishi wa habari waliofika kwenye mkutano wa Chama cha ACT-Tanzania,uliofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Serena,jijini Dar es salaam leo.  Kluia kwake ni Mwenyekiti wa Tawi la Tegeta wa Chama cha ACT-Tanzania, Mhe. Lugano Mwaikenda.

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe akinzungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutambulishwa kwake kujiunga na Chama cha ACT-Tanzania, katika mkutano wake na wanahabari uliofanyika mapema leo kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena, Jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Tawi la Tegeta wa Chama cha ACT-Tanzania, Mhe Lugano Mwaikenda.Picha zote na Othman Michuzi.
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe  na Msanii Afande Sele wakionesha kadi zao za wanachama wa ACT-Tanzania.Wengine ni Dickson Ng'ili pamoja na Adam Shanzy.
Mwenyekiti wa Tawi la Tegeta wa Chama cha ACT-Tanzania, Mhe Lugano Mwaikenda akionesha vipeperushi vya chama chao wakati wa mkutano huo
 Sehemu ya Wanachama wa Chama ACT-Tanzania wakionyesha mabango ya kumkaribisha Mwanachama mwenzao Mhe. Zitto Kabwe.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!