MAJINA NA PICHA ZA WANAFUNZI WA UDSM WALIOFARIKI KWA AJALI IRINGA
Kwa taarifa zilizotufikia zinaonyesha kuwa nao DUCE wamempoteza mwenzao mmoja na mwanafunzi mwingine ni majeruhi. Kwa bahati mbaya hatukufanikiwa kupata majina yao.
POLENI WANA UDSM & DUCE, MUNGU AWAPUMZISHE MAHALI PEMA MAREHEMU
No comments:
Post a Comment