Tuesday 31 March 2015

DIMAOND ZARI JESTINA GEORGE MSIBANI -MOROGORO

 

Diamond  Platinum akiwa kweny mazishi ya Abdu Bonge Mkoani Morogoro leo.


Diamond  Platinum Ameongozana na Mpenzi wake Zari the Big boss kwenye Mazishi ya Aliyekuwa Mwanzilishi wa Kundi la Tip top Marehemu Abdul Bonge  Aliyefariki Majuzi na Mwili wake kusafirishwa kwenda Morogoro Tayari kwa Mazishi yanayofanyika Mkuyuni Mkoani Morogoro.




1 comment:

Anonymous said...



aziz bilal03:27




Namuamini sana Mr Naseeb kwa kuhudhuria shughuli za wasanii wenzake,ni mfano wa kuigwa

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!