Friday 20 February 2015

UGONJWA WA KUTOONA KARIBU'MYOPIA'



Ni hali ya jicho ambapo mwanga unaoingia haulengi moja kwa moja ktka retina ya jicho bali hulenga mbele yake matokeo ni kutokuona kitu kilichokaribu na vile vilivyo mbali kuviona kwa shida au kama vyenye mawimbi au ukungu .kama tujuavyo jicho ni kiungo adhimu ambayo licha ya kuongeza uzuri wa sura zetu lakini pia inatuongoza ktka upembuzi wa mambo ikishirikiana na ubongo. 




CHANZO: Tatizo hili hutokea pale miale ya mwanga ya taswira hurudi ktka mboni ya jicho'cornea'ikiwa haijaakisiwa vizuri hivyo kitu kilicho karibu kutoonekana vizuri.pia shinikizo la taswira la kurithi haswa mtu anapotazama vitu vingi kwa karibu na kwa mara nyingi kama tv,computer,vitabu nk nk,ugonjwa wa kisukari na wenye IQ ya juu. DALILI: -Kushindwa kuona ubao,kuikaribia luninga/computer na kutotambua kwa uhakika kitu kilicho mbali ambacho wengine huona bila tatizo. USHAURI:Matibabu hutolewa baada ya uchunguzi na hutegemea athari zilizopo

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!